Mchepuko Lyrics – Rayvanny Ft Phina: Presenting the lyrics of the song “Mchepuko” sung by Rayvanny Ft Phina.
Mchepuko Lyrics – Rayvanny Ft Phina
Mtoto wa kike punguza sifa
Unavyojituma hadi unatoa mishipa
Wana ni wangu ila unavyojipandisha
Viuno ni vingi chunga isije katikaHujui kama tuko kwenye ndoa
Au umepanga kunikomoa
Unavyomganda hadi unaboa
Na una waganga kila mkoaAnakusifia kiuno
Na unavyotoa miguno
Wake mfano sugunyo
Hadi unasahau kurudi nyumbaniUna mafuta na asali
Ukipandaga hushuki una hatari
Uvunguni juu ya dari
Leo nimekufuma hii show utakubaliMchepuko we mchepuko we
Mchepuko niachie baby wangu
Mchepuko we mchepuko we
Mchepuko hebu muache
Mume wanguSa nisikilize bibi koma
Simu za usiku zimezidu koma
Unajifanya Beyonce wa kijiji koma
Eti una viuno vya Shakira komaHujui unanitia hasira eeeh
Ntakukata shingo
Baby hasira hasara
Usikunje ngumi acha kuchimba mikwara
Huyu anaitwa SaraMtoto wa dada kutoka Mbezi Kimara
Basi punguza papara
Viwembe vya nini umnyoe mwenzio kipara
Wanawake wawili msala
Nimejua ninu kilimshinda Manara
Iiih si wanaumeSi wasaliti mnatusingizia
Si wanaume eeeh
Si wanaume eeeh
Ni vishawishi ndo vinatuzingua
Si wanaume eeeh
Si wanaume eeeh
Ni vishawishi ndo vinatuzinguaBaby acha basi minuno
Unataka vunja mtu kiuno
Kuchwa visa sio mfumo
Usije kuua uende gerezaniUmechafukwa una makali
Mama usinimwagie tindikali
Hiyo bunduki ni hatari
Ona mtoto wa kike huogopi serikaliMchepuko we mchepuko we
Mchepuko niachie baby wangu
Mchepuko we mchepuko we
Mchepuko hebu muache
Mume wanguSa nisikilize bibi koma
Simu za usiku zimezidu koma
Unajifanya Beyonce wa kijiji koma
Eti una viuno vya Shakira koma
Hujui unanitia hasira eeehNtakukata shingo
Rayvanny Ft Phina – Mchepuko Song Details
Song: Mchepuko
Singer: Rayvanny Ft Phina