![Hainistui-Lyrics-Harmonize.jpg](https://originallyric.com/wp-content/uploads/2020/01/Hainistui-Lyrics-Harmonize.jpg)
Hainistui Lyrics – Harmonize
Yaaweya, Jeshi
Konde BoyHainistui, Hainistui, Hainistui
Apa nilipo kesho yangu siijui
Kuna wenzako watakuroga , Hainistui
Au nawe ushaoga, Hainistui
Maana hunaga uoga, Hainistui
Apa nilipo kesho yangu siijuiEeeh, leo nimepata kesho nimekosa
Kazi ya mola haina makosa
Huyu kampa boda mwingine verosa
Vuta subiri ngoja mungu hajakutosaMajunga fitina na na
Sigeuze changamoto
Maneno machanina na na
Dawa ya moto ni moto
ooh nana naWako waliosema Konde atapotea
Konde atapotea
Jembe katia gear chogo hiyo inapepea
Chogo inapepeaNina kula kwa jasho oo oo
Nipatacho naridhika
Nasubiri kesho oo oo
zamu yangu itafika
Nenda waambieHainistui, Hainistui, Hainistui
Apa nilipo kesho yangu siijui
Wenzako wanakuchukia, Hainistui
Tena wamepanga kukubania, Hainistui
Isitoshe wao ni matajiri, Hainistui
Usijali we tumia tu akili, Hainistui
Apa nilipo kesho yangu siijuiSinanga sifa za kujisifu najua
Kila kukicha kwa mungu naomba dua
Hustle nazidisha ili nizidi tusua
Wakinifunika kesho nitawafunuaTena waambie ee ee
Mchanga hauzikwi
Unaubadilisha makazi
Huwezi ziba riziki
Bure utajipa kaziNina kula kwa jasho oo oo
Nipatacho naridhika
Nasubiri kesho oo oo
zamu yangu itafika
Nenda waambieHainistui, Hainistui, Hainistui
Apa nilipo kesho yangu siijui
Mwana anakula tungi mbaya, Hainistui
Yule dada anadanga malaya, Hainistui
Ataishia pabaya, Hainistui
Apa nilipo kesho yangu siijuiIna ina ina
Inauma ila itabidi wazoee
Inauma ila itabidi wazoee
Wakimwona dodo na chopper
Inauma ila itabidi wazoee
Sikuhizi konde gange wanatuogopa
Inauma ila itabidi wazoee
Hamza
Kwako mwalimu kashasha
![Hainistui Lyrics - Harmonize Hainistui Lyrics - Harmonize](http://originallyric.com/wp-content/uploads/2020/01/Hainistui-Lyrics-Harmonize.jpg)