Badman Lyrics – Tundaman & Harmonize

Badman Lyrics - Tundaman & Harmonize
Badman Lyrics - Tundaman & Harmonize

Badman Lyrics – Tundaman & Harmonize: Presenting the lyrics of the song “Badman” sung by Tundaman & Harmonize.

Badman Lyrics – Tundaman & Harmonize

Mi sio mwaume wa panga
Wala sio mwanaume wa shoka
Ila nina roho mbaya mpaka wachawi wanaogopa
Kwangu mke bora anapatikana kimhoka

Shawahi fanya balaa mpaka shetani anaogopa
Nisha uwa sana panya bila kutumia sumu
Nishatumiaga beseni kubebea majukumu
Mwenzenu kumpiga boss kwangu sio kazi ngumu
Mtoto wa miaka mi2 namvutisha ndumu
Yani naogopwa kama kelele za mwizi
Ukipanga kuniroga hujue unaroga chizi
Kwenye bwawa la mamba mi napiga mbizi
Na nikifa siachi pengo naacha fizi

Oya mi mtumbadi
Wanangu mi mtu mbaya
Oya mi mtu mbadi
Wanangu mi mtu mbaya
(Khoo khooo khoo khooo khoo)

Hata ukienda kwa mganga,
Kutambika jina lang atakujibu nishazikwa
Wewe sio mama tanga,kisha niibuke na wangu,tunakula kitakacho pikwa
Njia nilizo pita hazinaga mfano
Mwenzako nimeshapita hadi tundu la sindano
Lengo kutimiza ndoto na sio mashindano
Na ndomana nawasha moto na sina mfano
Sina tatizo na waliopanga kunikomoa
Nawasalimu mliosema sita toboa
Mtaani ngoma zina heat mbaka zinaboa
Tena simbi sana na smoke na kukohoa(khooo)
Mi nikioo jitazame ujione
Ukiweza ninacho fanya hebu fanya tuone

Either ufe upone sina ziaka tatone
Na ukijifanya unajua mi sitaki unione
Sifa za tembo siku zote huaga mpole
Ingawa ana siri nzito za haristote lokole
Yani ukimuuzi sana atakupa kidole
Ikicheka kiuko kwa mkolole
Oya mi mtumbadi

Yani wao nimeshaoza nishachanganyikiwa
Wanangu mi mtu mbaya
Ukijitusu kunichokoza utachangamkiwa
Oya mi mtumbadi
Hey eeh hey ehh hey eeh hey eeh eeeh eeh
Wanangu mi mtu mbaya
Hey eeh hey eeh hey eeeh (khoooo)
Jeshi

Mwenzenu kuku wa kafala situpi
Nakula mbaka vibudu
(Oya mi mtumbadi)
Simwogopi mwanadamu mwenzangu
Mungu yu nasujudu
(Wangu mi mtu mbaya)
Demu unaemwona nyota ukilala unamwota
Wauni tushapiga uwa galagaza
Siku umemwokota kakuona unasota
Unampiga na picha na unamsambaza
F***k

(Konde music for world, Tundaman na bhakhresa)
Theee mix killer

Tundaman & Harmonize – Badman Song Details

Song: Badman
Singer: Tundaman & Harmonize