I Love You Lyrics – Rayvanny
Ilikuwa safari ndefu yenye mateso
Machozi mizigo vikwazo
Ila yote umenituaNaomba penzi letu lisife kesho
Ukanipa pressure mawazo
Chonde mama utaniuaNa vile hujui kununa fundi wa kudeka
Hata sijakutekenya unacheka
Ooooh tambua ushaniteka
Hata bila chakula nanenepa, my loveSalama nikiwa na wewe
Hata kama nina shida nasahau
Sura kama malaika
Na wala hauringi kwa dharauLawama acha nipewe
Nitoke duniani angalau
Kuliko ukakanyanyasika
Ila mpenzi usisahauMi ooh oh, I, mi amor, I
My Love, I, te amor, I
I love you I love you
Baby I love you, I love youI love you (Mi nakupenda sana)
I love you (Usiniache mama)
Baby I love you (Me oooh)
I love youSura ya mama, umbo lawama
Unayabia maguu
Unanichanganya ukiinama
Naangalia tattooNipakulie chakula mama sikomi
Asubuhi mchana mpaka jioni
Michezo unaijua mama msomi
Pini kitovu kifua na sikioniSalama nikiwa na wewe
Hata kama nina shida nasahau
Sura kama malaika
Na wala hauringi kwa dharauLawama acha nipewe
Nitoke duniani angalau
Kuliko ukanyanyasika
Ila mpenzi asahauMi ooh oh, I, mi amor, I
My Love, I, te amor, I
I love you I love you
Baby I love you, I love youI love you (Mi nakupenda sana)
I love you (Usiniache mama)
I love you
Rayvanny – I Love You Song Details
Produced by: Gach B