Miss Buza Lyrics – Rayvanny Ft. Dulla Makabila
Huyo miss buza
Mama miss buza
Jamani miss buza
Nampenda miss buza
Huyo miss buza
Mama miss buza
Jamani miss buza
Nampenda miss buzaRangi yake ya vidole kama ndizi za kuchoma
Harufu yake ya wigi unapata Corona
Hee kikipigwa kigodoro lazima utmuona
Shughuli hajaalikwa, kijola ka shashola
Ila chumbani si gogo mwali
Mbuzi kagoma kifo cha mende chali
Uvunguni sakafu juu ya dari
Ua mtoto anaupaka asali mama
Akiona simu anapita nayo
Eh, akiona walleti anapita nayo
eh, akiona dundo kali anapita nayo
Yaani akiona begi kali anapita nayo
Ana msitu kwapani dala kifuani
Kwenye dala dala anapita dirishani
Ghetto anazima taa, vipele mapajani
Ana dera jipya, chupi la zamani
Ah yo yo yoHuyo miss buza
Mama miss buza
Jamani miss buza
Nampenda miss buza
Huyo miss buza
Mama miss buza
Jamani miss buza
Nampenda miss buzaHaya kelele ya kwanza kwa missi yake, weh
Kelele ya pili kwa missi yake, weh, weh
Kelele ya tatu kwa missi yake, weh, weh, weh wehMtoto anachu chu, anachuchumia
Ana chu chu, mpaka nguo anavua
Mtoto anachu chu, anachuchumia
Ana chu chu, mpaka nguo anavuaAkivua shati muache, muache
Ameamua muache, muache
Akivua shati muache, muache
Ameamua muache, muacheKatikati nataka loshindikana
katikati nataka chura nyembamba
Mwanangu katikati nataka loshindikana
kati kati nataka chura nyembambaBasi twende tunaenda kushoto
Wanangu kushoto, wahuni kushoto, Masisela
Turudi ulia, wanangu kulia
Masela kulia, wanangu
Basi twende tunaenda kushoto
Eh kushoto, wanangu kushoto, iii kushoto
Basi twende tunaenda Kulia
Wanangu kulia, ati, ati, ati, ati, ati,atiBasi tuende teremka, we wanagu teremka
Teremka shika mabega teremka
Bwana teremka, masisela teremka
Teremka shika kiuno teremka
We wanangu teremka, mama teremka
Teremka shika magoti teremkaBasi tuende nioneshe unavyochumaga mchicha tembele
Nioneshe unavyochumaga mchicha
Mama nioneshe unavyochumaga mchicha tembele
Nioneshe unavyochumaga mchichaOya tuende kqmq unalo tingisha
We mama tingisha, tuone tingisha we dada tingisha
Kama unalo tingisha, we mama tingisha
Tuone tingisha, we dada tingisha
Kama unalo tingisha we mama tingisha
Tuone tingisha we dada tingishaBasi tuende shosho we nioneshe sho
Style gani unacheza kidalipo
We mwanangu shosho we nioneshe sho
Style gani unacheza kidalipo
Basi tuende kibaikoko we mtoto
Miguu juu ning’inia kama popo
Kibaikoko we mtoto
Miguu juu ning’inia kama popoNa ka chini unakwendaa unakwendaa unakwendaa
Shika magoti unashukaa unashukaa unashukaa
Na ka chini unakwendaa unakwendaa unakwendaa
Shika magoti unashukaa unashukaa unashukaaBasi tuende timua vumbi timua shemeji atafua
Timua vumbi timua shemeji atafua
Bwana timua vumbi timua shemeji atafua
Timua vumbi timua shemeji atafua
Rayvanny Ft. Dulla Makabila- Miss Buza Song Details
Song: Miss Buza
Singer: Rayvanny
Featuring: Dulla Makabila
Song Produced By- Dj Kidogodogo
Mixed & Mastering By- Lizer Classic