NITONGOZE Lyrics – Rayvanny Ft. Diamond Platnumz: Presenting the lyrics of the song “NITONGOZE” sung by Rayvanny Ft. Diamond Platnumz.
NITONGOZE Lyrics – Rayvanny Ft. Diamond Platnumz
Weka shida chini glas juu tujipongeze
Husijali wanafiki wambea chapa mziki wote tuchezeHeh vanny boy
Chui
Platnumz
(S2kizzy baby)
Maswali mengi kwa waiter hauna hela nini
(Eti)
Iyo shingapi hii shingapi hauna hela nini
(Eti)
Maswali mengi kwa waiter hauna hela nini
(Eti)Ile shingapi hii shingapi hauna hela nini
Nimeachwa sitaki tena maswali
Naenda beach kula upepo wa bahari
Naumwagilia moyo mziki kwa mbali
Jimbo likowazi sema nitakubaliAti unanitaka
Eti unanipenda (basi nitongoze)
Unanitaka
Eti unanipenda (basi nitongoze)
Unanitaka
Eti unanipenda (basi nitongoze)
Unanitaka
Eti unanipenda (basi nitongoze)Eh bwana we
Hela ya kodi nainywea pombe
Baba mwenye nyumba akileta fyoko natia makonde
Na kama hayanogi mapenzi husikonde
Akiringa akwende chukua mwengine sio kinyonge
Yuko wapiii yuko wapi huyo
(Basi nitongoze)
Yuko wapii yuko wapi huyo
(Basi nitongoze)
Yuko wapii yuko wapi huyo
(Basi nitongoze)
Yuko wapiii yuko wapi huyo
(Basi nitongoze)Nimeachwa sitaki tena maswali
Naenda beach kula upepo wa bahari
Naumwagilia moyo mziki kwa mbali
Jimbo liko wazi sema nitakubaliAti unanitaka
Eti unanipenda (basi nitongoze)
Unanitaka
Eti unanipenda (basi nitongoze)
Unanitaka
Eti unanipenda (basi nitongoze)
Unanitaka
Eti unanipenda (basi nitongoze)Eeh bwana we
S2kizzy baby
Zombie
Onyesha boxer
Tuone boxer
Nyanyua shati ingia kati tuone boxer
Onyesha boxer
Tuone boxer
Nyanyua shati ingia kati tuone boxer
Rayvanny Ft. Diamond Platnumz – NITONGOZE Song Details
Song: NITONGOZE
Singer: Rayvanny Ft. Diamond Platnumz