Tamba Lyrics – Mbosso
Tandika jamvi naja nyumbani
Nimekuletea zawadi
Kijora cha mkopo
Futa nanazi ujipare honey
Na vijisabuni vya magadi
Nguru usimtoe chumvi ndio ladha yake
Muunge tu nipe na chuzi na nyama yake
Eeh kula ya mbuzi ni kamba yake
Ye king’amuzi ni dishi lake
Fungeni maturubai
Mkeshe mkisema
Wala hamtupi shida
Mkeshe mkisema
Ndio kwanza tunajidai
Mkeshe mkisema
Kama afisa wa NIDA
Ooooooh
Tena daktari nimekuja na tiba sindano
Leta nichomeke
Chunga kibinda mwali napita kwenye mabano
Leta nichomeke
Nipo ngangari tayari kwa mapambano
Leta nichomeke
Tayakangusazi leo mambo msuguano
Leta nichomeke
Taaamba Tamba
Nakupa uwanja Tamba
Taaamba Tamba
Warushe warushike roho zao
Taaamba Tamba
Wasokujua wakujuwe leo
Taamba Tamba
Tamba mama nawe
Nitalinda benki kwa rungu niaminie
Taka langu mwana mvungu nainama mie
Wavunje nazi na nyungu wajifushie
Uumwa yangu atulinde mungu yasitufikie
Nilishakumbwa na Tsunami
Na mapenzi nikalia nina amani kwako sasa
Penzi si la unyang’anyi pekee yangu najilia
Nashiba na kusaza
Na ka TV kangu kanawaka kuzima
Nikupe
Na kasimu kangu japo ka mchina
Nikupe
Shika na moyo wangu enda nao mazima
Nikupe
Tuzaliwa Mecca tufie Madina
Nikupe
Fungeni maturubai
Mkeshe mkisema
Wala hamtupi shida
Mkeshe mkisema
Ndio kwanza tunajidai
Mkeshe mkisema
Kama afisa wa NIDA
Ooooooh
Tena daktari nimekuja na tiba sindano
Leta nichomeke
Chunga kibinda mwali napita kwenye mabano
Leta nichomeke
Nipo ngangari tayari kwa mapambano
Leta nichomeke
Tayakangusazi leo mambo msuguano
Leta nichomeke
Taaamba Tamba
Nakupa uwanja Tamba
Taaamba Tamba
Warushe warushike roho zao
Taaamba Tamba
Wasokujua wakujuwe leo
Taamba Tamba
Tamba mama nawe
Nishalinoa panga porini kukata muwa
Wanakaza kitanda usiku kuneng’emuwa
Nishalinoa panga porini kukata muwa
Wanakaza kitanda usiku kuneng’emuwa
Nishalinoa panga porini kukata muwa
Wanakaza kitanda usiku kuneng’emuwa
Mbosso – Tamba Song Details
Song: Tamba
Singer: Mbosso
Produced By: Nusder Venom