Tamba Magufuli Lyrics – Mbosso
Mambo yamepamba moto
CCM chama number one
Kwetu si maneno hapa kazi
Wapinzani tumbo jotoKila sehemu wako taabani
Ushindi kwa Magu wazi wazi
Ye nuru sawia uamuzi sifa yake
Uhuru kapinga ubaguzi kwa wanawakeYe na wala mbuzi hawana chake
Vigeregere viruzi na shangwe kwakeFungeni maturubai, mkeshe mkisema
Wala hamtupii shida, mkeshe mkisema
CCM twajidai, mkeshe mkisema
Kwetu ushindi kawaida, ooh oohTena Magufuli amekuja na tiba sindano
Acha wateseke
Anachapa kazi baba ye hana mfano
Acha watesekeTena ngangari hodari wa mapambano
Acha wateseke
Na tuko na wewe baba mpaka mbili ishirini na tano
Acha watesekeTamba Tamba
Tumekupa uwanja tamba
Tamba Tamba
Warushe warushike roho zaoTamba Tamba
Wenye majipu watumbue leo
Tamba Tamba
Tamba baba naweTwaomba akulinde Mungu
Dua zetu sie
Fly Over kama kwa wazungu
Na ndege zetu sieNa hujatugawa mafungu
Yule na mie
Taifa moja sote kama ndugu
Acha kura tukupatieUmepambana na Tsunami
La corona lilipoingia
Ni amani kote sasaRushwa na unyang’anyi
Tinga tinga umesagia
Mafisadi wote msasaHili ndo chama changu nimezama mazima, CCM
Dar ndo jiji langu makonda na lidima, CCM
Makamo wa rais wangu Mama Samia Lima, CCM
Majaliwa waziri wangu katakata mashina, CCMFungeni maturubai, mkeshe mkisema
Wala hamtupii shida, mkeshe mkisema
CCM twajidai, mkeshe mkisema
Kwetu ushindi kawaida, ooh oohTena Magufuli amekuja na tiba sindano
Acha wateseke
Anachapa kazi baba ye hana mfano
Acha watesekeTena ngangari hodari wa mapambano
Acha wateseke
Na tuko na wewe baba mpaka mbili ishirini na tano
Acha watesekeTamba Tamba
Tumekupa uwanja tamba
Tamba Tamba
Warushe warushike roho zaoTamba Tamba
Wenye majipu watumbue leo
Tamba Tamba
Tamba baba naweTushalinoa panga porini kukata muwa
Yaani tumejipanga wapinzani mtajijua
Tushalinoa panga porini kukata muwa
Yaani tumejipanga wapinzani mtajijuaTushalinoa panga porini kukata muwa
Yaani tumejipanga wapinzani mtajijua
Lalala lala lalaaaa
Mbosso – Tamba Magufuli Song Details
Singer: Mbosso