Teamo Lyrics – Rayvanny ft. Messias Maricoa: Presenting the lyrics of the song “Teamo” sung by Rayvanny ft. Messias Maricoa.
Teamo Lyrics – Rayvanny ft. Messias Maricoa
Mmmh, Namshukuru Mola kanijalia
Mrembo wa sura hadi tabia
Nina kila sababu ya kujivunia iyee
Yaani kila kona umetimia
Napenda manukato ukinukia
Ukinigusa ndo nazimia iyee
Yaani kama ndege na wanae
Tuogelee na tupae
Kwenye kiota tukakae mi nawe
Uje nikubebe washangae
Wenye uchungu wakazae
Tukicheza kuche kuche
Nahodha eh mi nawe
Una guu la beer wala huna fito
Chuchu zako hunitoa majicho
Hata uvae gunia bado uko simple
Unapendeza
Shepu sinia, kiuno kijiko
Chumbani wanipa madiko diko
Ukifungua Coke yaani ni mafuriko
Umeniweza
Ooh my baby Teamo
Teamo
Ooh my baby Teamo
Teamo
****
Ooh my baby Teamo
Teamo
Ooh my baby Teamo
Teamo
Utamu wa asali
Najilamba lamba tu
Nakukupoteza mi sidhani(Aaah)
Twende Zanzibari
Kwenye marashi ya karafuu
Tukale na pweza forodhani(Aaah)
Yaani kama ndege na wanae
Tuogelee na tupae
Kwenye kiota tukakae mi nawe
Uje nikubebe washangae
Wenye uchungu wakazae
Tukicheza kuche kuche
Nahodha eh mi nawe
Ooh my baby Teamo
Teamo
Ooh my baby Teamo
Teamo
Rayvanny ft. Messias Maricoa – Teamo Song Details
Song: Teamo
Singer: Rayvanny ft. Messias Maricoa