Uno Lyrics – Harmonize
Konde Boy
Uno(Yii), everybody say uno
Nasema uno, everybody say unoUno likiteguka huwezi kutembea
Masai ruka ruka analinyenyekea
Chumbani kwenye shuka linanitetea
Mzungu kawehuka limemkoleaLa kimakonde la kichaga
Eeeh la kichaga
Wengine hadi wanywe pombe ndo wanalimwaga
Eeeh wanalimwagaUno la wima wima
Linatokea Congo
Si ndo lile Gwajima
Alimwagia kondoooUno, oooh oooh ooh oh
Linawaokoa makahaba bababba
Kuna walong’oa meno sabababa
Ili mtoa ya chibabaYaani a, e, i, o
Uno!Uno! Everybody say uno
Nasema uno! Everybody say unoUno! Za migando kama hautaki
Uno! Jipinde kama unakanda chapati
Nasema Uno! Basi lizungushe hadi kwenye bati
Uno! Manga kiza kote varangatiBasi kata taratibu tibu
Usijepata ajali
Uno la Chibu Chibu
Linamkondesha Zari
Uno la RayC
Halinanga mifupa
Ukienda DRC
Kuna Fally IpupaAaah popote wanalimwaga(Uno)
Yaani kinaga ubaga(Uno)
We jaribu kuchunguzaga(Uno)
Uno ndo linalegeza chaga(Uno)
Linawaokoa makahaba bababba
Kuna walong’oa meno sabababa
Ili mtoa ya chibaba
Yaani a, e, i, o
Uno!Uno! Everybody say uno
Nasema uno! Everybody say unoUno! Za migando kama hautaki
Uno! Jipinde kama unakanda chapati
Nasema Uno! Basi lizungushe hadi kwenye bati
Uno! Manga kiza kote varangatiUno(Yii), everybody say uno
Nasema uno, everybody say uno(Oooh my God it’s Spencer sound)
Harmonize – Uno Song Details
Song: Uno
Singer: Harmonize