
CCM Lyrics – Harmonize
Konde Boy
Waambieni wapinzani wanajisumbua
CCM chama chetu tumekichagua
Waambieni wapinzani wanajisumbua
CCM chama chetu tumekichagua
Ungozi sio jambo rahisi
Unataka watu majasiri
Wamekazania ubishi
Kazi kupinga vilivyo dhahiri
Kazi zote za magufuli, eti hawazioni
Elimu barabara nzuri, nazo hawazioni
Utekelezaji wa CCM eti hawauoni
Umeme, maji kila sehemu, fly-over hawazioni
Ndege zilivojazana, nazo hawazioni
Ajira kwa vijana, nazo hawazioni
Eeeh magufuli tembo
(tembo wa CCM)
Dr. Alisheni tembo
(tembo wa CCM)
Philip mangula tembo
(tembo wa CCM)
Mama zamia tembo
(tembo wa CCM)
Kaka sasimu majaaliwa tembo
(tembo wa CCM)
Bashiluari tembo
(tembo wa CCM)
Wee polepole tembo
(tembo wa CCM)
konde boy tembo
(tembo wa CCM)
Twende piga makofi, piga makofi
CCM piga makofi, piga makofi
Twende vidaileki, vidaileki
Zungusha vidaileki, vidaileki
Waambieni wapinzani wanajisumbua
CCM chama chetu tumekichagua
Waambieni wapinzani wanajisumbua
CCM chama chetu tumekichagua

Harmonize – CCM Song Details
Song: CCM
Singer: Harmonize