Forever Lyrics – Rayvanny: Presenting the lyrics of the song “Forever” sung by Rayvanny.
Forever Lyrics – Rayvanny
Forever, forever
Forever, forever
Forever, forever
Forever, foreverNilianza kusikia sauti yako
Kabla sijaona sura
Ikafanya nikageuka
Macho yangu yakakutana na yako
Oooh Mashallah
Nikahisi Malaika ameshushwaMaana rangi macho umbo lako
Likanivuta kwako tuongee
Nikakuuliza jina lako namba yako
Ndio ulikuwa mwanzo wa mi na wewe
Uuuh babyUmenifungulia dunia ya mapenzi
Nimesahau mateso
Nakufungulia dunia yakukuenzi
We ni wangu leo na kesho eeeh eeehNakupenda, sikuachi
We ni wangu, I promise
Nakutaka, kando yangu
Sikuachi, I promise
Mi na weweForever, forever
Forever, me and you
Me and you forever, baby
Forever, forever
Forever, mi na we
Nitazikwa naweMtoto mbichi teketeke aki mama umelainika
Umeumbika acha nikumwagie sifa
Waruke sarakasi na mateke uzuri wako hawatofika
Mama umejazisha mikate yakumiminishaBaby waonyeshe cheko (cheko)
Wape mideko (deko)
We mzuri, filter na make up waachie wao
Na unawapa mateso (teso)
Watajifunika leso
Waonyeshe kiburi wajue wewe ndio mama lao
Aiyaa yaaahUmenifungulia dunia ya mapenzi
Nimesahau mateso
Nakufungulia dunia yakukuenzi
We ni wangu leo na keshoNakupenda, sikuachi
We ni wangu, I promise
Nakutaka, kando yangu
Sikuachi, I promise
Mi na weweForever, forever
Forever, me and you
Me and you forever, baby
Forever, forever
Forever, mi na we
Nitazikwa nawe
Rayvanny – Forever Song Details
Song: Forever
Singer: Rayvanny